Rais Uhuru Kenyatta Kwa Mara Ingine Amepata Pigo Kwa Kupoteza Kesi Kortini Baada Ya Kuamurishwa Kuwateua Majaji Sita Aliowatema.Kwenye Uamuzi Uliotolewa Na Jopo La Majaji Watatu,Rais Hana Sababu Yeyote Ya Kukataa Kuwateua Kwa Mda Wa Siku 14 La Sivyo Watalazamika Kuchukua Usukani Baada Ya Kuteuliwa Na Tume Ya Majaji Jsc.Mwanahabari Wetu Jeff Khaemba Alihudhuria Uamuzi Huo Wa Majaji Na Kukuandalia Taarifa Ifuatayo//