Viongozi Kaunti Ya Nyandarua Wapinga Uamuzi Kuregea Kwa Spika

EbruTVKENYA 2021-10-05

Views 8

Hali Ya Vuta Nikuvute Ilishuhudiwa Katika Bunge La Kaunti Ya Nyandarua Baada Ya Spika Aliyebanduliwa Ndegwa Wahome Kufika Katika Bunge Hilo Ili Kuendelea Na Majukumu Yake Baada Ya Kuelekea Mahakamani Kupinga Kubanduliwa Kwake. Kizaazaa Kilizuka Baada Ya Wawakilishi Wodi Waliounga Kubanduliwa Kwake Kufunga Milango Na Kuzuia Kuingia Kwake. Maafisa Wa Usalama Walilazimika Kuingilia Kati Na Kutibua Mzozo Huo Huku Wahome Akisema Kuwa Ilikua Njama Ya Gavana Francis Kimemia Ya Kumdhalilisha.

Share This Video


Download

  
Report form