Viongozi Kutoka Kaunti Za Kisii Na Nyamira Wamehimizwa Kuungana Kabla Ya Uchaguzi Mkuu Ili Kupipatia Nafasi Katika Serikali Mpya.Akizungumza Katika Eneo La Bobaracho, Mgombea Kiti Cha Ugavana James Kemoni Amesema Viongozi Wote Kutoka Eneo La Kisii Wanapaswa Kuhusishwa Katika Mazungumzo Za Kubuni Njia Mwafaka Ya Kuwa Serikalini.