Serikali Ya Kaunti Ya Baringo Imempatia Mwanakandarasi Anayejenga Jengo La Upasuaji Wa Ghorofa Nne Katika Hospitali Ya Rufaa Ya Kabarnet Miezi Mitano Akamilishe Mradi Huo. Mradi Huo Uliogharamia Millioni 173 Ulianzishwa Mwaka 2015 Ila Ujenzi Wake Umesitishwa. Meneja Wa Mradi, Ali Noor Amelaumu Janga La Corona Kwa Kumzuia Kukamilisha Kazi Hiyo