Huku Taifa Likiadhimisha Miaka 11 Tangia Katiba Ya Mwaka Wa 2010 Kuidhinishwa, Mbunge Wa Tindiret Julius Meli Na Mwenzake Kuria West Mathias Robi Wanashikilia Kuwa Katiba Ya Sasa Imewafaa Wakenya Huku Mbunge Wa Mvita Abdulswamad Sharif Akishikilia Kuwa Ripoti Ya Bbi Ilikuwa Inalenga Kuwasaidia Wakenya Na Kutatua Changamoto Zinazoikumba Taifa Kila Uchaguzi.