Matiang'i: Baadhi Ya Viongozi Wanakandamiza Jitihada Za Maendeleo

EbruTVKENYA 2021-08-11

Views 1

Waziri Wa Usalama Wa Ndani Dkt. Fred Matiang'i Amemnyoshea Kidole Cha Lawama Makamu Wa Rais William Ruto Kwa Kile Anachosema Ni Kukandamiza Jitihada Za Serikali Za Maendeleo. Matiangi Anasema Miradi Ya Maendeleo Ilikwama Lakini Achukukue Hatamu Za Usimami Wa Miradi Hiyo Ukamilishaji Wake Umeimarika. Lucy Rile Na Taarifa Zaidi

Share This Video


Download

  
Report form