Wakenya Wamejiunga Na Ulimwengu Kuadhimisha Siku Ya Kimataifa Ya Marafiki. Baadhi Ya Wakenya Wanashikilia Kuwa Virusi Vya Covid-19 Ndio Vimekuwa Changamoto Kuu Ya Jamaa Na Marafiki Kutangamana. Wengine Wanashikilia Kuwa Ukosefu Wa Fedha Na Mikakati Iliyowekwa Na Wizara Ya Afya Ya Kukabiliana Na Virusi Hivyo Vimekuwa Kizuizi Ya Kusafiri Na Kutemblea Jamaa Na Marafiki.