Kenya Imeadhimisha Miaka 31 Ya Saba Saba Ambayo Huwa Kila Mwaka, Julai 7. Kwa Miaka Kadhaa Sasa, Siku Hii Haijakuwa Ikivutia Shamrashamra Kutoka Kwa Viongozi Wa Upinzani Na Mashirika Ya Kijamii Jinsi Ilivyokuwa Hapo Awali. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Anatusimulia…………