Nyimbo za Hisabati | Ubongo Kids | Eneo, Mzingo, Vipimo n.k. - kwa Kiswahili!

henrykeith2469 2018-07-15

Views 215

Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA!\r
\r
Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani!\r
\r
Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!\r
\r
Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kungamua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi.\r
\r
Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! \r
\r
Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!\r
\r
Tazam Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia: \r
\r
\r
\r
\r
Twitter: @UBONGOtz @UbongoKids\r
\r
Katuni mahususi iliyotengenezwa Afrika, kwa ajili ya wana wa Afrika!

Share This Video


Download

  
Report form