Shughuli Kwenye Viwanja Vya Ndege Humu Nchini Huenda Zikakwama Baada Ya Majadiliano Kati Ya Viongozi Wa Halmashauri Ya Viwanja Vya Ndege Na Chama Cha Wafanyikazi Wa Viwanja Vya Ndege Kusambaratika.Chama Hicho Kilikuwa Kimetoa Makataa Ya Wiki Moja Kwa Halmashauri Hiyo Kutekeleza Nyongeza Ya Mshahara Ya Asilimia 13 La Sivyo Watagoma.