Wiki Moja Baada Ya Rais Uhuru Kenyatta Kupiga Marufuku Biashara Ya Vyuma Vikuu Kuu, Mamlaka Ya Kenha Imeunga Mkono Semi Zake Rais. Kenha Ikishirikiana Na Mamlaka Ya Ntsa Na Polisi Wa Kitaifa Wamesema Watafanya Kazi Kwa Pamoja, Ili Kuthibiti Wizi Na Uharibififu Wa Rasmali Ya Serikali.