Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Amelaani Shughuli Ya Ubomozi Katika Eneo La Mukuru Kwa Njenga Akisema Ni Kinyume Cha Sheria. Kalonzo Alizuru Eneo Hilo Katika Kampeni Zake Kaunti Ya Nairobi Aliposema Kuwa Atahakikisha Kuwa Haki Za Wakaazi Wa Mukuru Zitazingatiwa Ikiwa Atachaguliwa Kuwa Rais.