Afisi Ya Msajili Mkuu Wa Vyama Vya Kisiasa Chini Ya Uongozi Wa Anne Nderitu Imezindua Mpango Wa Kuwawezesha Wakenya Kujisali Katika Vyama Mbalimbali Kupitia Njia Ya Kidijitali.Hafla Hiyo Iliyoongozwa Na Waziri Wa Teknolojia Na Uvumbuzi Joe Mucheru Imeangazia Umuhimu Wa Kuweka Deta Za Wakenya Kwa Njia Bora Na Vilevile Kurahihisha Safari Yao Wakati Wanapotaka Kuchagua Chama Chao Cha Kisiasa