Baadhi Ya Vijana Katika Kaunti Ya Trans Nzoia Wameelezea Ghadhabu Yao Kwa Kukosa Kupata Vitambulisho Vyao Kwa Mda Ufaao.Kulingana Na Vijana Hawa,Hatua Hii Imechangiwa Pakubwa Na Machifu Kutowajibika.Mbunge Wa Endebbes Dkt.Robert Pukose Ameonya Baadhi Ya Maafisa Wa Serikali Wanaowahangaisha Wenyeji Wa Eneo Hilo. Mwanahabari Wetu Lucy Riley Na Taarifa Hii Kwa Kina.