Baadhi Ya Viongozi Kutoka Eneo La Ukambani Wamemsuta Waziri Wa Usalama Wa Ndani Dkt Fred Matiangi Kwa Kutumia Mamlaka Yake Visivyo. Mbunge Wa Machakos Victor Munyaka Anadai Kuwa Wizara Ya Matiangi Imetumia Sheri Aya Kafyu Kujibinafsisha Na Kupelekea Kuwepo Kwa Ongezeko La Vifo Vya Baadhi Ya Wakenya Mikononi Mwa Polisiā¦