Naibu Wa Rais William Ruto Amevunja Kimya Chake Siku Chache Baada Ya Serikali Kumuondolea Walinzi Wake Wa Gsu Na Badala Yake Kumuekea Walinzi Wa Maafisa Wa Utawala. Ruto Amesema Hana Wasiwasi Akisisitiza Kuwa Maafisa Wote Wa Polisi Wanauwezo Wa Kumpa Ulinzi Akiwataka Wakenya Kuachana Na Mjadala Huo.