Licha Ya Kushinda Kesi Ya Kuzuiliwa Bila Hatia Na Serikali Miaka Miwili Iliyopita, George Kariuki Amesalia Na Kilio Cha Haki Baada Ya Serikali Kuchelewesha Fidia Yake. Kariuki Sasa Ametoa Wito Kwa Asasi Husika Kuingilia Kati Ili Kuisaidia Familia Yake Ambayo Kwa Sasa Imekumbwa Na Lindi La Umaskini