Wizara Ya Usalama Wa Ndani Kuunda Sera Za Kulinda Watoto Gerezani

EbruTVKENYA 2021-08-26

Views 2

Wizara Ya Usalama Wa Ndani Itaunda Sera Ambazo Zitalinda Maslahi Ya Watoto Wanaoambatana Na Mama Zao Wanaohukumiwa Na Kufungwa Gerezani Na Hatimaye Kuzuia Watoto Hao Kuishi Maisha Ya Kawaida. Katibu Msaidizi Wa Wizara Ya Usalama Wa Ndani Winnie Guchu Amesema Sera Hizo Zitasaidia Katika Ujenzi Wa Vituo Vya Kuwatunza Watoto.

Share This Video


Download

  
Report form