Mshikilizi Wa Rekodi Ya Kitaifa Katika Mbio Za Mita 400 Hellen Syombua Ana Matumaini Makubwa Ya Kutamba Katika Olimpiki. Syombua Ambaye Atakuwa Anapania Kufanya Vyema Zaidi Ya Alivyoshamiri Mwaka 2019 Katika Mashindano Ya Riadha Za Dunia. Syombua Aliwasili Jijini Kurume Japan Mapema Alhamisi Pamoja Na Wenzake Katika Mbio Fupi Ferdinand Omanyala Na Mark Otieno.