Huku Hayo Yakijiri, Baadhi Ya Wendani Wa Naibu Rais William Ruto Wanazidi Kushikilia Kauli Yao Kwamba Wakati Huu Sio Mwafaka Wa Kufanya Mabadiliko Ya Katiba. Kulingana Na Mbunge Wa Kapenguria Samuel Moroto, Katiba Ya Sasa Inafaa Kutekelezwa Kwa Kikamilifu Kabla Ya Kuifanyia Marekebisho.