Katibu Msaidizi Katika Wizara Ya Afya Rashid Amaan Amedokeza Huenda Mikakati Mikali Zaidi Ikazinduliwa Kukabiliana Na Janga La Virusi Vya Corona, Hii Ni Kutokana Na Idadi Kubwa Ya Wagonjwa Wa Covid-19 Inayosajiliwa Kila Siku. Kulingana Na Takwimu Za Leo, Viwango Vya Maambukizi Vikiwa Vimefikia Asilimia 22 Na Vimesalia Kuwa Vya Juu Zaidi Mwaka Huu.