Kenya Yaungana Na Dunia Nzima Kuadhimisha Siku Ya Maji Duniani

EbruTVKENYA 2021-03-22

Views 7

Huku Nchi Ya Kenya Ikiungana Na Nchi Zingine Kuadhimisha Siku Ya Maji Duniani, Kuwepo Kwa Maji Safi Bado Inasalia Kuwa Changamoto Kuu Hasa Katika Vitongoji Duni. Kiwango Cha Sasa Cha Upatikanaji Nchini Inakadiriwa Kuwa Takriban Asilimia 64 Ya Maji Na Asilimia 26 Ya Usafi Katika Miji. Na Kama Aziza Hashim Anavyotueleza, Wakaazi Wa Nairobi Bado Wanakumbwa Na Changamoto Ya Kupata Maji Safi Licha Ya Juhudi Za Kuboresha Mifumo Ya Siwa.

Share This Video


Download

  
Report form