Maelfu Ya Watanzania Wajitokeza Kumuaga Rais Magufuli

EbruTVKENYA 2021-03-20

Views 25

Maelfu Ya Watanzania Wamejitokeza Kutoa Heshima Zao Za Mwisho Kwa Rais Mwendazake John Pombe Magufuli. Kwa Heshima Na Taadhima Kuu Jeshi La Taifa Hilo Liliongoza Ratiba Hiyo Ya Kutoa Buriani Kwa Amri Jeshi Mkuu Wao Atakayezikwa Ijumaa Ijayo

Share This Video


Download

  
Report form