Kijana Mmoja Aanza Kampeni Ya Kuwatayarisha Watahiniwa Wa K.C.P.E

EbruTVKENYA 2020-06-26

Views 14

Kijana Mmoja Mwenye Heri Njema Kutoka Kaunti Ya Nyeri Ameanza Kampeni Ya Kuhakikisha Kuwa Watahiniwa Wa Kcpe Katika Shule Za Msingi Katika Kaunti Hiyo Wataendelea Kusoma Wakati Huu, Shule Zimefungwa Kutokana Na Mkurupuko Wa Ugonjwa Wa Covid-19.

Share This Video


Download

  
Report form
RELATED VIDEOS