Hakuna Siri Tena!! MO Dewji Kwa nini alitekwa? Siri zote nje kwanini kutekwa kwake kumeacha kishindo

New Video en 2018-10-24

Views 21

Kutekwa kwa bilionea Mohammed Dewji, MO,kumelitikisa taifa la Tanzania na kwa kiasi dunia, Taarifa za kutekwa, kushikiliwa na kuachiliwa huru siku tisa baadae hazikuishia tu Tanzania lakini karibu mashirika yote makubwa ya habari ulimwenguni.

Share This Video


Download

  
Report form