Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amezungumza na vyombo vya habari jijini Dar- es Salaman muda mfupi baada ya mfanyabiashara tajiri Mo Dewji kupatikana akiwa hai alfajiri ya Oktoba 20-2018.
CLICK SUBSCRIBE KISHA LIKE NA COMMENT ILI UWEZE KUPATA HABARI NYINGINE KIRAHISI NA HARAKA ZAID