Haji Manara acharuka baada ya MO Dewji kutekwa

Popular Video en 2018-10-12

Views 21

Msemaji wa klabu ya soka ya Simba, Haji Manara, amewajia juu watu ambao wanatoa taarifa ambazo sio za kweli kuhusu kupatikana kwa Mohammed Dewji ambaye anadaiwa kutekwa asubuhi ya kuamkia leo maeneo ya Oysterbay.

Share This Video


Download

  
Report form