Angalia zoezi la kukiinua kivuko cha Mv Nyerere linavyoendelea

Most Viewed 2018-09-25

Views 6

Leo Septemba 24 kutoka eneo la Ukara mahali kilipozama Kivuko cha Mv. Nyerere juhudi zinaendelea za kukiinua Kivuko hicho kutoka kwenye maji klichokuwa kinachofanya safari zake Bugorola na Ukara wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, ambapo kilipata kupata na kuuwa watu 224.

Share This Video


Download

  
Report form