Mmoja akutwa hai ajali ya MV Nyerere

Elegant Videos 2018-09-23

Views 35

Katika hali isiyo ya kawaida mtu mmoja amepatikana akiwa hai katika kivuko cha MV Nyerere kilichozama juzi mchana karibu na kisiwa cha Ukara baada ya kukaa majini kwa takribani siku tatu ambapo kwa mujibu wa waokoaji wamesema mtu huyo ametambulika kwa jina la Agustino Charahani ambaye ni fundi mitambo wa kivuko hicho.

Share This Video


Download

  
Report form