Goli la pili la Yanga kutoka kwa Ibrahim Ajib; YANGA VS STAND UNITED (TPL - 16/09/2018)

video bora 2018-09-17

Views 1

Ni dakika ya 35, Ibrahim Ajib baada ya kupokea pasi kutoka kwa Papy Tshishimbi, akaachia fataki nje ya 18 na kuiandikia Yanga bao la pili.
Ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaopigwa kwenye dimba la Taifa Dar es Salaam.

Share This Video


Download

  
Report form