Njaa Na Karo Zaathiri Wanafunzi Kajiado

EbruTVKENYA 2023-02-09

Views 6

Naibu Wa Chifu Eneo La Bisil Kaunti Ya Kajiado Caroline Ncharo Amekuwa Akitembelewa Na Wazazi Pamoja Na Wanafunzi Wanaotafuta Msaada Wa Pesa Na Vyakula. Naibu Chifu Huyo Amewataka Wahisani Kujitolea Ili Kukabiliana Na Baa La Njaa Huku Wakiwafaa Wanafunzi Kama Lucy Meshenua Aliyezoa Alama 360.

Share This Video


Download

  
Report form