Mwanasiasa Gladys Chania Na Mshatakiwa Mwenzake Maurice Mbugue Wanatarajiwa Kujua Hatima Ya Kesi Dhidi Yao Disemba Mosi Mwaka Huu. Wawili Hao Wamekuwa Wakizuiliwa Na Walinda Usalama Kutokana Na Shutuma Za Mauaji Ya George Mwangi Ambaye Ni Mumewe Chania Eneo La Mang'u, Kaunti Ya Kiambu.