Familia Moja Eneo Thika Kaunti Ya Kiambu, Inalilia Haki Kwa Mwanao Lucy Njambi Mwenye Umri Wa Miaka Ishirini Na Saba Aliyedungwa Kisu Na Mpenziwe Nyumbani Kwake Na Kufariki Usiku Wa Kuamkia Leo .Kulingana Na Familia Ya Njambi Wamesema Kuwa Mtu Huyo Alijitambulisha Kama Afisa Wa Polisi Na Alitoroka Baada Ya Kitendo Hicho Cha Unyama