Ruto Amewalaumu Wapinzani Wake Kwa Kueneza Siasa Za Uchochezi

EbruTVKENYA 2021-11-25

Views 5

Naibu Wa Rais William Ruto Hii Anasema Kuwa Taifa Halitarejea Tena Katika Nyakati Za Giza Wakati Kampeni Za Urais 2022 Zinashika Kasi.Kulingana Na Ruto Ambaye Alipiga Kambi Hii Leo Kaunti Ya Nakuru,Wapinzani Wake Wamekuwa Wakiwachochea Wakaazi Wa Bonde La Ufa Kutomuunga Mkono

Share This Video


Download

  
Report form