Mtoto Wa Miezi 4 Afariki Mombasa Mama Asingizia Panya.

EbruTVKENYA 2021-11-10

Views 5

Kulizuka Kizaazaa Katika Eneo La Kadongo Katika Eneo Bunge La Kisauni Baada Mtoto Mmoja Mwenye Umri Wa Miezi Minne Kufariki Katika Mazingira Tatanishi. Polisi Wameanzisha Uchunguzi Huku Majirani Wakimnyoshea Kidole Cha Lawama Mama Mzazi Anayedai Kuwa Mwanawe Alivamiwa Na Panya.

Share This Video


Download

  
Report form