Kipindi Cha Kupiga Picha Kiligeuka Kuwa Msiba Baada Ya Wanafunzi Wanne Kutoka Chuo Kikuu Cha Tharaka Kufa Maji Walipokuwa Wanaogelea Katika Mto Kathita Alasiri Ya Jumamosi. Kufikia Usiku Wa Jumamosi, Miili Mitatu Ilikuwa Imetolewa Majini Tayari Huku Msako Wa Mwili Wa Nne Ukiendelea.