Ruto Amsuta Kinara Wa ODM Raila Amolo Odinga

EbruTVKENYA 2021-11-01

Views 5

Naibu Rais William Ruto Amemsuta Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Kwa Kile Anachodai Kuwa Ni Kuwalaghai Wakenya Kupitia Ripoti Ya Bbi Ambaye Kufikia Sasa Ipo Mikononi Mwa Majaji Wa Mahakama Ya Upeo.

Share This Video


Download

  
Report form