Spika Beatrice Elachi Kutangaza Chama Atakachotamba Nacho 2021

EbruTVKENYA 2021-09-19

Views 1

Waziri Msaidizi Katika Wizara Ya Utumishi Kwa Umma,Vijana Na Jinsia Beatrice Elachi Amesema Kuwa Masaibu Yanaandama Chama Cha Jubilee Yatachangia Wanachama Wengi Kuwania Nyadhifa Zao Wakitumia Vyama Vingine.Kulingana Na Elachi Ambaye Kwa Wakati Mmoja Alihudumu Kama Spika Wa Bunge La Kaunti Ya Nairobi Atasaka Maoni Ya Wapiga Kura Kuamua Ni Chama Kipi Atakitumia Kunasa Wadhifa Katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

Share This Video


Download

  
Report form