Kenya Yapokea Shehena Ya Kwanza Ya Chanjo Ya J&J

EbruTVKENYA 2021-09-04

Views 1

Wakenya Wengi Wangali Hawana Ufahamu Wa Ni Kwa Njia Ipi Ama Ni Vituo Vipi Vinavyotoa Chanjo Ya Virusi Vya Korona Huku Taifa Likiwa Mbioni Kuwachanja Watu Milioni 10 Kufikia Tarehe Ya Krismasi. Haya Yajiri Huku Shehena Ya Kwanza Ya Chanjo Ya Kampuni Ya Johnson Na Johnson Ikiwasili Nchini Na Kuleta Matumaini Makubwa.

Share This Video


Download

  
Report form