Kinara Wa ODM Yu Kaunti Ya Nakuru Katika Juu Chini Za Kuwania Urais

EbruTVKENYA 2021-08-17

Views 4

Mibabe Wa Kisiasa Wanazidi Kujiandaa Katika Uchaguzi Wa Mwaka 2022 Huku Ukiwa Umebaia Takriban Mwaka Mmoja. Kinara Wa Odm Raila Amolo Odinga Hii Leo Amedhihirisha Azma Yake Ya Kuchukua Usukani Mwaka Ujao, Huku Kundi La One Kenya Likiwa Linasuasua Kutafuta Mwafaka Wa Nani Atakuwa Mwakilishi Wao Katika Kinyang'anyiro Hicho. Mwanahabari Wetu Abdiaziz Hashim Na Maelezo Zaidi………….

Share This Video


Download

  
Report form