Waziri Wa Michezo Amina Mohamed Pamoja Na Rais Uhuru Kenyatta Wamekashifiwa Vikali Kwakutojitokeza Katika Uwanja Wa Ndege Wa Kimataifa Wa Jomo Kenyatta Kupokea Shujaa Eliud Kipchoge Aliyewasili Nchini Usiku Wa Kuamkia Leo Kutoka Japan Alikohifadhi Taji La Olimpiki La Marathon.