Rabsha Makadara, Jamii Yadai Ofisi Ya Watoto Kueleza Mahali Alipo Mtoto Aliyepelekwa Huko

EbruTVKENYA 2021-06-15

Views 3

Rabsha Ilishuhudiwa Katika Eneo La Makadara Baada Ya Msamaria Mwema Aliyemuokoa Mtoto Mmoja Kukosa Kuafikiana Na Idara Ya Watoto. Msamaria Huyo Anasema Aliwakabidhi Maafisa Hao Mtoto Huyo Baada Ya Kumuokota Na Sasa Anataka Kujua Hali Yake. Hata Hivyo Juhudi Zake Zilizmbulia Patupu Na Kuwalazimu Wakaazi Kuandama Na Kupiga Kambi Mbele Ya Ofisi Ya Idara Ya Watoto Wakitaka Kujua Mahali Mtoto Huyo Alipo.

Share This Video


Download

  
Report form