Wakaazi Wa Tala, Kaunti Ya Machakos Wanakadiria Hasara Baada Ya Moto Kuzuka Na Kuteketeza Bidhaa Katika Duka Moja Inayouza Bidhaa Kwa Ujumla Usiku Wa Kuamkia Leo. Moto Huo Uliteketeza Vyakula Vyote Na Bidhaa Zingine Katika Duka Hilo Linalosemekana Kuwa Miongoni Mwa Duka Kubwa Zaidi Za Kuuza Bidhaa.