Wizara Ya Afya Imefichua Kuwa Chanjo Ya Pfizer Itawasili Nchini Juni Huku Chanjo Ya Johnson And Johnson Itawasili Nchini Mwezi Agosti. Hii Ni Baada Ya Nchi Ya India Kusitisha Kusafirishwa Kwa Dozi Za Astrazenecca Kufuatia Mkurupuko Wa Virusi Vya Corona Nchini Humo.