Chama Cha ANC Chawinda Ngome Ya ODM Nyanza

EbruTVKENYA 2021-03-13

Views 6

Ikiwa imesalia mwaka mmoja na nusu peke taifa lielekee katika uchaguzi mkuu, wanasiasa na vyama vyao wanajizatiti kuboresha uungwaji mkono katika maeneo mbalimbali kote nchini. Chama cha ANC kinachoongozwa na Musalia Mudavadi kinawinda eneo la Kisumu ambalo ni ngome ya kinara wa ODM Raila Odinga kama anavyotueleza Daniel Ndebede.

Share This Video


Download

  
Report form