Mbunge Wa Nyali Anataka Waziri Wa Uchukuzi James Macharia Kung'atuliwa

EbruTVKENYA 2020-06-17

Views 27

Mbunge wa Nyali Mohammed Ali amewasilisha mswada bungeni wa kutaka kumngatua waziri wa uchukuzi James Macharia kwa kile anachokitaja kuwa kuzembea kazini, kukiuka katiba pamoja na ufisadi. Spika wa bunge la kitaifa Justin Muturi anatarajiwa kutoa muelekeo kuhusu mswada huo kufikia ijumaa wiki hii.

Share This Video


Download

  
Report form