Filamu za Kikristo "Toka Nje ya Biblia" (1) - Je, Ni Uzushi Kuondoka Kutoka Kwa Biblia?
Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi. Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anafanya kazi Yake ya hukumu akianza na familia ya Mungu na anaelezea ukweli wote ambao unatakasa na kumuokia mwanadamu, na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini wanahukumu, wakisema kuwa maneno na kazi ya MWenyezi Mungu huenda zaidi ya Biblia, na kwamba ni uzushi. Je , maneno na matendo ya Mungu yaliyoenda zaidi ya Biblia uzushi kweli? Ikiwa ni hivyo, si basi hata sisis tungekuwa tukihukumunkazi ya Bwana Yesu ? Je, Mungu hufanya kazi kulingana na Biblia au kulingana na haja ya kazi Yake kumuokoa mwanadamu?
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod
App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433
Barua Pepe:
[email protected]Wasiliana Nasi: +254-700-427-192
WhatsApp: +254-700-427-192