Tunajua Unatafuta Sehemu ya Kuhifadhi Pesa Zako Ili Ikifika Siku ya Jumapili Uwe Umejichanga vya Kutosha Mkwanja Utakaokuwezesha Kufika Pale @lifeclub_dsm Kwenye #GrandFinale , Na si Wengine ni @dcbbanktz , THE OFFICIAL SPONSER FOR #BIKOJIBEBECHALLENGE
Kitu Muhimu ni Kuhakikisha unajichanga Ili Siku Ikifika Usikose Hata Mshiko wa Kuchukua Kinywaji au Nauli ya Kufika Kwenye #GrandFinale , Fuata Njia Hizi Kuweza Kujaza Kibubu Chako Kutoka @dcbbanktz , Kwanza Chukua Simu yako Kisha Piga Namba *150*85# .
.
1. Fungua Akaunti (Unachohitaji ni Kitambulisho chako cha taifa, Kitambulisho cha Kupigia Kura, Hati ya Kusafiria au Leseni ya Udereva
.
2. Ukisha Fungua Akaunti kwenye MENU (Kufungua akaunti ni Bure) Nenda namba 5 Utakuta Digital Kibubu .
.
3. Kibubu Digital ni huduma inayokuwezesha kuweka Akiba Kidogo Kidogo kupitia simu yako ya mkononi kwa lengo la kufanikisha mipango yako ya baadae
.
4. Akiba yako Itakuongezea faida ya hadi asilimia 10% na kulipwa kila mwezi
FOR MORE INFO USIACHE KUTEMBELEA PAGE ZA @dcbbanktz #JibebeNaDCB #KibubuAccount