DIAMOND Alivyobeba Mwili wa Majuto Leo

Trend Video en 2018-08-09

Views 9

Diamond Alivyoshiriki Kubeba Mwili Wa Mzee Majuto

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz leo alikuwa miongoni mwa waombolezaji waliofika katika Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Mzee Majto.

Mwili wa msanii mkongwe wa filamu za Kibongo, Amri Athuman 'King Majuto', aliyefariki jana usiku, ulifikishwa Karimjee kuagwa baada ya kutolewa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ulikokuwa umehifadhiwa kisha kupelekwa kuswaliwa katika Msikiti wa maamur, Upanga.

Baada ya kuagwa katika Viwanja vya Karimjee, mwili wa marehemu umesafirishwa mpaka jijini Tanga kwa mazishi ambapo viongozi mbalimbali wamejitokeza kushiriki katika msiba huo.

FACEBOOK: ... TWITTER:

Visit , Suazi1 WEBSITE:

FACEBOOK:
... TWITTER:

Share This Video


Download

  
Report form