Mtoto wa Gardner kuhusu picha: Baba wakati anaingia nilikuwa nimelala!

Best Video en 2018-08-03

Views 2

Baada ya picha kusambaa mtandaoni ikumuonyesha mtangazaji wa Clouds Media Garder G Habashi akiwa na mtoto wake Karen na kuzua gumzo, Bongo5 ilifanya jitihada na kumpata binti huyo ambaye kwasasa anafanya muziki na kueleza mazingira ambayo walipiga picha hiyo na kwanini aliamua kuipost mtandaoni.

Share This Video


Download

  
Report form